HOSPITALI YA AGA KHAN KUCHUNGUZWA .

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linafanta uchunguzi wa malalamiko ya wananchi kutozwa gharama kubwa za matibabu kwa wagonjwa wenye matatizo ya nimonia yanayosababisha kushindwa kupumua vizuri katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa